Home /

The Bible Society Price List

CHAMA CHA BIBLIA CHA TANZANIA

P.O. BOX 175, DODOMA

BEI ZA MAANDIKO MATAKATIFU  APRIL 2020

  1. Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu, tumelazimika kufanya mabadiliko ya  bei  kuanzia tarehe 01 April  2020  na zinaweza kubadilishwa bila taarifa ukionekana umuhimu.  Tunawaarifa washitiri wetu kuwa mauzo yetu yote ni kwa malipo hapo hapo ya fedha taslimu, hawala ya benki au kwa hundi za kusafiria tu.  Kwa sababu zisizozuilika hatupokei hundi za kawaida.
  2. Tafadhali tuma agizo lako likiwa limeambatana na malipo.  Fanya hesabu ya maandiko unayohitaji katika bei zetu za kuuzia ukitoa kipunguzi unachostahili.
  3. Kipunguzi kuanzia mwaka huu ni kama ifuatavyo.
Thamani katika  Tsh Kipunguzi
1. 0           –      200,0000 0%
2. 200,001  –    1,000,000 10%
3. 1,000,001 –  10,000,000 15%
4. 10,000,001 – 30,000,000 20%
5. 30,000,001 –  and above 25%

Unaweza kutuma agizo lako tukutumie maelezo ya thamani unayotakiwa kulipia (Proforma Invoice) kama hutaweza kufanya hesabu hiyo mwenyewe unapotuma agizo.  Tupo tayari kukuhudumia wakati wote.

Barua zote zitumwe kwa:

Katibu Mkuu,

Chama cha Biblia cha Tanzania,

P.O. Box 175, DODOMA.

Simu za ofisini ni Na. 026-2324661,  0262324459 na 026-2324465

Fax Na.                       026-2324058

Marketing Manager:            Mobile No.:  0754-267156.

Email address:  ejkamwela@gmail.com      , ekamwela@biblesociety-tanzania.org

THE BIBLE SOCIETY OF TANZANIA

P.O. BOX 175, DODOMA

PRICE CATALOGUE 2020

  1. Due to un avoidable reasons and with effect from 1st April , 2020 and are liable to change without notice if at all deemed necessary.  We would like to notify our esteemed customers that our sales are on cash terms, bankers draft or travellers cheques.  For reasons beyond our control ordinary cheques are not accepted.
  2. We request you to send your orders accompanied by payments calculated from the selling price allowing the normal trade discount appropriate to the value of your purchase.
  3. Sales Discount to our customer for this year is as follows:-
Value in Tsh Discount
1. 0           –      200,0000 0%
2. 200,001  –    1,000,000 10%
3. 1,000,001 –  10,000,000 15%
4. 10,000,001 – 30,000,000 20%
5. 30,000,001 –  and above 25%
  1. You may also send your order and request for proforma invoices if you cannot easily calculate the actual cost for your orders.

We are ready to serve you at all times.  You are warmly welcome and may God bless you.                          

 

Local Account

Lipa kwa:- Chama cha Biblia cha Tanzania

Jina la Bank – NBC  – Dodoma

A/C na  029103000362

Local Account

Pay: The Bible Society of Tanzania

Name of Bank -Diamond Trust Bank (DTB)

A/C no    0901969001

Swift or Wiring Code  DTKETZTZ

Forex Account

Pay: The Bible Society of Tanzania

Name of Bank -Diamond Trust Bank DTB

A/C no 0901969002

Swift or Wiring Code  DTKETZTZ

 

    

  1. All correspondence should be addressed to:

The General Secretary,

The Bible Society of Tanzania,

P.O. Box 175, DODOMA.

Office Phone No.:  026-2324661,  026-2324459 & 026-2324465

Fax No.  026-2324058

Marketing Manager

Mobile No.:          0754-267156.

Email address:     ejkamwela@gmail.com, ekamwela@biblesociety-tanzania.org

AINA ZA VITABU BOOK CODE NO. PRICE

 

BIBLIA ZA KISWAHILI UNION VERSION        O8 – 06
Biblia ya Mimbarani UV083 100,000
Biblia ya Mimbarani yenye DC UVDC O83 100,000
Biblia yenye Maandishi makubwa UVO73 30,000
Sehemu za Biblia kwa Watoto 063P 25,000
Biblia iliyoboreshwa (Revised) RSUV052MCR 25,000
Biblia iliyoboreshwa  (Revised) RSUV053MCR 25,000
 ( Biblia iliyoboreshwa  Revised RSUVDC052MCR 25,000
( Biblia iliyoboreshwa  Revised RSUVDC053MCR 25,000
            BIBLIA ZA KISWAHILI UNION VERSION 052
Swahili Bible  Union( ina reference chini) UVO52 25,000
Biblia ya kawaida yenye Thumb  Index UV052TI 27,000
Swahili Bible UVO52TI(G) 28,000
Biblia yenye Itifaki UVO52C 30,000
Biblia yenye ganda Maalum na  Itifaki UVO52CPLTI 32,000
Swahili Bible with Marginal Cross ref UVO52MCR 27,000
Swahili Bible with Marginal Cross ref UVO53MCR 27,000
Swahili Bible (1952) MCR  Thumb Index UV 052MCRTI 29,000
Swahili Bible (1952) MCR  Thumb Index UV 053MCRTI 29,000
Swahili Bible (1952) MCR ( Taji ) UVO52MCRPL(G) 30,000
Swahili Bible (1952) TC ( Taji ) UVO52MCRPL(G) 30,000
UVO52TC 30,000
30,000
Swahili Bible(1952) MCR UV052MCRPLTI(G) 30,000
Swahili Bible (1952 )CCR UVO52CCR 27,000
Swahili Bible (1952) CCR UVO52CCRTI 27,000
Swahili Bible with Jesus words in Red UV052R 27,000
Swahili Bible (Jesus Words in Red) UV052RPL( R ) 27,000
Swahili Bible (Jesus Words in Red) UV052RPL(G) 27,000
Biblia ya Kawaida  iliyoboreshwa UVO52PL(G) 27,000
Biblia ya kawaida iliyoboreshwa UVO52PL (R) 27,000
Swahili Union version with DC ( Iringa) UVDCO52Ir 27,000
Biblia ya Roehl  Kiswahili cha Kimvita 053P 32,000
Swahili /English Bible DICLO62P 40,000
Swahili /English Bible DICLO63P 40,000
Swahili Bible UVO55 30,000
Swahili Bible UVO55MCR 35,000
Biblia ya Zip ( MCR-1952) UVO57ZTI 65,000
Biblia ya Ngozi na Zip (MCR-1952) UVO59ZTI 75,000
Swahili Missionary Bible UVO40 15,000
BIBLIA ZA KISWAHILI UNION VERSION 030
Biblia ya Kati kwa Vijana                                                  UVO32 20,000
Swahili Bible UVO32PL(R) 22,000
Biblia ya Vijana iliyokatwa UVO32TI 22,000
Swahili Bible UVO32PL(G) 22,000
Swahili Bible UVO32PLTI 25,000
Swahili Bible Yenye kifuniko UVO32M 30,000
Swahili Bible Yenye kifuniko iliyokatwa UVO32MTI 32,000
Swahili youth Bible MCR UVO32MCR 22,000
Swahili youth Bible MCR UVO32TIMCR 24,000
Swahili Youth Bible MCR UVO32MCRPLTI 25,000
Swahili Youth Bible MCR UVO32MCRM 32,000
Swahili Youth Bible MCR UVO32MCRMTI 34,000
Swahili Youth Bible CCR UVO32CCR 20,000
Swahili Youth Bible CCR UVO32CCRTI 22,000
Swahili Bible Youth UVO39ZTI 65,000
TRIM LINE
Swahili Bible-Trim line UVTRZTIB 38,000
Swahili Bible-Trim line UVTRZTA 38,000
Swahili Bible-Trim line UVTRFBTIB 38,000
Swahili Bible-Trim line UVTRFBTIA 38,000
BIBLIA ZA KISWAHILI UNION VERSION O22  
Biblia ya mfukoni UVO22 16,000
Swahili Pocket Bible UVO22TI 17,000
Swahili Pocket Bible UVO22PL( G ) 18,000
Swahili Pocket Bible UVO22PLTI 18,000
Swahili Pocket Bible MCR UVO22MCR 17,000
Swahili Pocket Bible CCR UVO22CCR 16,000
Swahili Bible Pocket Zip UVO26Z 16,000
Swahili Bible Pocket Zip UVO27ZTI 32,000
Bibia za mfukoni ya zip UVO29ZTI 55,000
BIBLIA HABARI NJEMA CL  
Biblia Habari njema kwa Vijana CLO32P 20,000
Biblia  Habari Njema kawaida CL052P 25,000
Biblia  Habari Njema kawaida CL053P 25,000
Biblia ya Mafunzo bila Deuterokanoni CLO62P 32,000
Biblia ya Mafunzo bila Deuterokanoni yenye mikato CLO63PTI 32,000
 

 

   
BIBLIA HABARI NJEMA CLDC  
Bibia Habari njema yenye DC CLDCO32P 20,000
Swahili Habari njema yenye Deuterokanoni CLDCO32PTI(G) 22,000
Swahili Habari njema yenye Deuterokanoni CLDCO32PTI(R) 22,000
Biblia Habari njema yenye DC ganda maalum CLDC032PPL(R) 22,000
Biblia Habari njema DC yenye ganda maalum CLDC032PPL(G) 22,000
Biblia Habari njema yenye ganda Maalum CLDCO32PPLTI(G) 23,000
Biblia Habari njema Yenye ganda Maalum CLDO52PPL( R ) 25,000
Biblia Habari njemaYenye ganda Maalum CLDO52PPL(G) 25,000
Biblia  Habari Njema yenye Deuterokanoni CLDC053P 25,000
Swahili Habari njema yenye Deuterokanoni CLDCO53PTI 25,000
Swahili Habari njema yenye Deuterokanoni CLDCO59ZTI 70,000
Biblia ya Mafunzo yenye Deuterokanoni bila mikato CLDCO63P 32,000
Biblia ya Mafunzo yenye Deuterokanoni na mikato CLDCO63PTI 35,000
BIBLIA KWA LUGHA NYINGINE    
Iraqw Bible  Plastic cover CL052P 20,000
Iraqw Bible hard cover CLO53P 20,000
Biblia ya Cigogo ganda gumu CLO53 20,000
Biblia ya Cigogo ganda laini CLO52 20,000
Ruhaya Bible with DC Deuterocanical Books CLDCO52P 20,000
Biblia ya Ruhaya ya kawaida CLO52P 20,000
Biblia ya Kinyakyusa ya kawaida CLO52P 20,000
Muma Maler (Luo Bible) VO53 20,000
Muma Maler with DC Books VDC O53 20,000
Biblia ya Kimasai ganda laini O52 20,000
BIBLIA ZA MATAIFA MENGINE    
The Holy Bible (RSV) RS43 15,000
Good News Bible with DC books GNBDC053 20,000
Good News Bible GNBO53P 20,000
Good News Bible GNB043PSR 15,000
Good News Bible GNB043P(JWR) 15,000
Good News Bible (Tanzania) GNBO43 15,000
Holy  Bible NKJO43C 20,000
New Jerusalem Bible NJBO43 20,000
The Lion Children’s Bible 15,000
Carry along the Bible ( Children) 0427 15,000
Biblia ya kubeba popote ( Watoto) 0432 15,000
Good News Bible (pocket size) GNB 022 16,000
The Holy Bible ESV International version ESV063 16,000
English Bible Global ESV – Study Bible 22,000
My first Bible MFB 15,000
The Holy Bible (ESV) Ganda gumu ESV033 15,000
The Holy bible (ESV)Ganda laini ESV032 15,000
English Bible – Contemporary English Version CEV063 20,000
Youth Bible – Contemporary English Version CEV033 15,000
Biblia katika lugha ya Kifaransa 20,000
AGANO JIPYA ZA KISWAHILI
Agano Jipya na Zaburi (UV) UV342 6,000
Agano Jipya na Zaburi (UV) UV342PL( R ) 6,000
Agano Jipya (UV) ganda maalum UV342PL(G) 7,000
Agano Jipya na Zaburi (Habari njema) CL342 7,000
Agano Jipya Habari njema ganda maalum CL342PP(R) 7,000
Agano Jipya Kiswahili/Kiingereza yenye Zaburi na Methali DICL462P 12,000
AGANO JIPYA YA KIINGEREZA
The Holy Gospel (New Testament) HG 8,000
English NT and Psalms RS335 9,000
AGANO JIPYA KWA LUGHA NYINGINE    
Kimeru 262P 6,000
Kimochi 262P 6,000
Kimachame 262P 6,000
Kivunjo 262P 6,000
Kipare/Chasu 253P 6,000
Kisukuma CL262P 6,000
Igikuria NT 262P 6,000
Kijita 363 6,000
Iraqw yenye Zaburi 362P 6,000
Kinyamwezi 232P 6,000
Kishambala 262P 6,000
Kihehe CL262P 6,000
Kikaguru CL262P 6,000
Kinyiramba CL262P 6,000
Kirimi CL262P 6,000
Kidatooga CL262P 6,000
SEHEMU ZA BIBLIA
Injili na Zaburi UV560 8,000
Habari za Yesu katika picha sehemu ya 1 – 3 (Ruhaya) CL560 3,000
The Great Bible Discovery 8,000
VITABU VYA WASOMAJI WAPYA  (NRP)
Habari Njema (HN) Kitabu cha 1 CL590P 3,000
Habari Njema (HN) Kitabu cha 2 CL590P 3,000
Habari Njema (HN) Kitabu cha 3 CL590P 3,000
Habari Njema (HN) Kitabu cha 4 CL590P 3,000
Habari Njema (HN) Kitabu cha 5 CL590P 3,000
Habari Njema (HN) Kitabu cha 6 CL590P 3,000
VITABU VINGINE
Atlasi ya Biblia 20,000
The lion Atlas of Bible History 70,000
Itifaki ya Biblia 50,000
Ufafanuzi wa Biblia ( African Bible Comentrary) ABC 70,000
African Bible comentary – English ABC 70,000
Watoto katika Biblia WKB 18,000
My first handy Bible – Children Bible MFHB 18,000
My first handy Bible – Children Bible Swah/English MFHB-Diglot 18,000
Adam names Animals ANA 24,000
Adam names more animals ANMA 22,000
Mfululizo wa vitabu vya Maneno ya Hekima (a packed of 15 series bbooklets) 3,000
Swah / English Childrens story Book Logen 4,000
English Childrens story Bible Logen 4,000

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

[]
× How can we help you?