CHAMA CHA BIBLIA CHA TANZANIA P.O. BOX 175, DODOMA BEI ZA MAANDIKO MATAKATIFU APRIL 2020 Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu, tumelazimika kufanya mabadiliko ya bei kuanzia tarehe 01 April 2020 na zinaweza kubadilishwa bila taarifa ukionekana umuhimu. Tunawaarifa…