Get Up to 0% to 25% OFF Ordered Bibles* Accondingly.

UANACHAMA

[vc_row][vc_column width=”1/2″][vc_column_text]

Uanachama

TSh
 
Personal Info

Credit Card Info
This is a secure SSL encrypted payment.

Billing Details

Donation Total: TSh 15,000.00

[/vc_column_text][/vc_column][vc_column width=”1/2″][vc_single_image image=”5226″ img_size=”large” alignment=”center” title=”Kuwa Mwanachama na Kusaidia kazi yetu Leo!”][vc_column_text]

Mwenyekiti wa CBT Askofu Bernadine Mfumbusa akimvalisha beji mwanachama mpya Mch. Obadia Chitalya wa Kanisa la Anglikana Dodoma na akihamasisha uchangiaji wa fedha za kununulia Biblia kwa ajili ya Magereza Dodoma. Dr, Nyanda Makamu wake na Ndugu Kimonge Katibu Mkuu wa CBT waliongoza jopo la wachangiaji.

 

  1. Tafsiri.

Unaweza kusaidia Chama kwa :

–  Kuchangia Miradi ya Tafsiri kwa kutoa fedha taslimu.

–  Kuchangia Miradi ya Tafsiri kwa kuwapata Watafsiri wenye uwezo na Wachambuzi wenye mzigo na kazi hii.

– Kuchangia Miradi ya Tafsiri kwa kupitia Miswada ya Tafsiri.

2.  Uhamasishaji.

-Kutoa sadaka au michango kila mara kwa Chama.

– Kuhamasisha Makanisani juu ya Wiki ya Biblia ambayo ni kila wiki ya kwanza ya  Mwezi Novemba kila mwaka.

– Kuanzisha Vikundi vya Biblia Moja kwa Mwezi ( Bible a Month Club-BAMC ) kwenye Makanisa na maeneo ya kazi.

– Kusaidia kueneza Biblia kwa njia ya kuuza kwa kujitolea.

– Kutoa njia mbadala au mawazo ya jinsi ya kutunisha Mfuko wa Chama ukishrikiana na Chama au kwa niaba ya Chama.

3. Maombi.

Ungana nasi katika kukiombea Chama.

4. Kujitolea.

Unaweza kukisaidia Chama kwa kutoa muda wako na ujuzi wako wakati wowote kukisaidia Chama katika azma ya Kutafsiri, Kuchapisha, Kueneza na katika kuhamasisha watu kutoa  kumfidia msomaji apate Biblia kwa bei nafuu.[/vc_column_text][/vc_column][/vc_row][vc_row][vc_column][vc_column_text]

Visit shop 

Follow us on social media

Facebook  Twitter Instagram Youtube Linkedin 

[/vc_column_text][/vc_column][/vc_row]

This post is also available in: swahili

× How can we help you?